TZUK AGM 2022 LONDON-UK BROUGHT TO YOU BY NALA Money Transfer

TZUK AGM 2022 LONDON-UK BROUGHT TO YOU BY NALA Money Transfer

Join Here

TUNAFURAHA leo tarehe 3.6.2022 kuwatangazia kuwa NALA kakubali kusponsor kwa AGM yetu ya London ya 25.6.2022.

NALA kaomba TZUK TUMSUPORT kwenye biashara yake kwanza kwa kutumia Link above

ifuatayo kwa watakaopeleka pesa nchi tano za Afrika kwa kutumia NALA. Nchi hizo ni :

TANZANIA

KENYA

UGANDA

RWANDA

GHANA

Share this post

Leave a Reply

Your email address will not be published.


X