TUKUTANE COVENTRY JUMAMOSI TAREHE 05/05/2018, MKUTANO MKUU WA PILI (AGM – 2018) – JUMUIYA YA WATANZANIA UK NA IRELAND KASKAZINI.

TUKUTANE COVENTRY JUMAMOSI TAREHE 05/05/2018, MKUTANO MKUU WA PILI (AGM – 2018) – JUMUIYA YA WATANZANIA UK NA IRELAND KASKAZINI.

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania UK na Northern Ireland inapenda kuwatangazia Wanachama wake na Watanzania wote wanaoishi nchini Uingereza, Wales, Scotland na Ireland ya Kaskazini (Ireland)

kuwa Mkutano Mkuu wa Pili (AGM – 2018) Utafanyika katika Jiji la Coventry hapa nchini Uingereza

Anuani – ST. MARY & ST BENNEDICT

                 52A RAGLAN STREET

                 COVENTRY –  CV1 5QF

Kuanzia saa tano asubuhi hadi saa kumi na moja Jioni, Ajenda kuu kubuni mikakati Zaidi kwa maendeleo ya Jumuiya Yetu

Kuongeza Ushirikiano na Jumuiya mbalimbali hapa UK na Ireland

kutakuwa na chakula cha mchana na vinywaji Baridi

WANACHAMA HAI BUREE NA ASIYE MWANACHAMA NI £15 (£5 ADA YA KUJIUNGA NA £10 CHAKULA)

WATAKAOJIUNGA SIKU HIYO KUPEWA MAELEKEZO YA NAMNA YA KUWA MWANACHAMA HAI NA WATAKAVYOWEZA KUSHIRIKI KATIKA UJENZI WA JUMUIYA (Terms and Condition Apply)

Mara baada ya Mkutano ni burudani ya Muziki katika Club Junction – Coventry mpaka majogoo

DISCOUNTED GROUP HOTEL BOOKING – AVAILABLE

FOR MORE INFO, PLEASE CALL – 07402344004/07941656446/07956485119/07903828119

WOTE MNAKARIBISHWA

 

X