SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA NA KENYA, JUMAMOSI TAREHE 08 DESEMBA 2018 KUFANYIKA KATIKA JIJI LA LUTON NCHINI UINGEREZA.

SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA NA KENYA, JUMAMOSI TAREHE 08 DESEMBA 2018 KUFANYIKA KATIKA JIJI LA LUTON NCHINI UINGEREZA.

Jumuiya Kuu ya Watanzania nchini Uingereza inapenda kuwatangazia Watanzania wote na wana Africa Mashariki wanaoishi nchini Uingereza (UNITED KINGDOM) na IRELAND kuwa Sherehe za Uhuru Mwaka huu zitafanyika katika mji wa Luton siku ya Jumamosi tarehe 08/Desemba/ 2018 kuanzia saa mbili Usiku mpaka majogoo

Ifikapo saa sita usiku tutakuwa na tukio maalum litalofanywa na Mgeni rasmi pamoja wasanii maarufu wanaotegemewa kuwepo siku hiyo kukaribisha usiku wa tarehe 09/Desemba, siku ya tuliyopata Uhuru

Kutakuwa na kila aina ya vinywaji, nyama choma, chapatti’s, supu na mahanjumati ya kumwaga!

Anuani ya Ukumbi

Lewsey Farm Learning Centre Executive Hall
92 Tomlinson Avenue
Luton
LU4 0QQ

Tiketi zinapatikana kupitia akaunti maalum ya Jumuiya kwa ajili ya kuadhimisha miaka 57 ya Uhuru

Kiingilio ni £20pp, Meza moja yenye kuchukua watu nane mpaka kumi ni £200, ili kujipatia tiketi yako deposit £20 kwa mtu mmoja au £200 kwa meza kisha Tuma ujumbe kwenda anuani Pepe: tzukdiaspora@gmail.com

Akaunti maalum ya Jumuiya

Jina la Akaunti- UHURU
Bank – LLOYDS
Sortcode – 30 99 08
Akaunti No. 23619960

Burudani na sound system nzito itaporomoshwa na DJ DOUBLE T, DJ CHAMBI NA DJ ANDREW

Hii si ya kukosa kwani kutakuwa na suprises za kumwaga,

UHURU DAY TUKUTANE LUTON

Imetolewa na Jumuiya Kuu ya Watanzania UK

TZUK DIASPORA

08 DECEMBER 2018.

UMOJA NI NGUVU NA PAMOJA TUNAWEZA

We the members of Tanzania Diaspora UK & NI, in order to form a more perfect unity, first and foremost we will focus to serve and protect the interests and well-being of the Tanzanian diaspora living abroad, while promoting country’s investment potential which are important, but they should not overshadow diaspora interest to harness, protect and maintain their (jos soli/jus sanguinis) birth right either in Land ownership and citizenship. We, shall support each other towards promoting, engaging with the Government of the United Republic of Tanzania and The Revolutionary Government of Zanzibar as our Motherland.

Share this post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


X