SHEREHE ZA UHURU NCHINI UINGEREZA KUFANYIKA KATIKA JIJI LA LEEDS

SHEREHE ZA UHURU NCHINI UINGEREZA KUFANYIKA KATIKA JIJI LA LEEDS

Jumuiya kuu ya watanzania nchini uingereza inawatangazia watanzania wote wanaoishi UK na IRELAND kuwa sherehe za kuadhimisha miaka 58 ya zitafanyika katika jiji la Leeds siku ya jumamosi tarehe 07/12/2019 kuanzia saa kumi na moja jioni mpaka majogoo.

Kutakuwa na burudani ya muziki pamoja na wasanii mbalimbali kutoa burudani ya kutosha

Vyakula vyote vya East African Cousine vitapatikana siku hiyo pamoja na vinywaji kwa bei nafuu sana

kiingilio ni £15 ikijumuisha mlo wa kwanza, na vingine kama nyama choma nk vitapatikana kwa bei nafuu sana.

Sherehe za Uhuru *Jumamosi tarehe
7 Disemba 2019 – katika jiji la Leeds

Deposit £15

Cover entrance & a portion of choma meal

Burudani mpaka majogoo best Dj’s and live performance from Rashyd – TZUK based solo artists

Vinywaji bei poa all night
Address ya ukumbi ni:

Lake Victoria Club

75 Roseville Road

LS8 5DT

Leeds

Lloyds Bank

Tanzania Diaspora in the UK

UHURU ACCOUNT

Reference – Jina lako

Sort Code : 30 – 99 – 08

A/c No. 23619960

Imetolewa na Uongozi

Jumuiya Kuu ya watanzania UK – TZUK Diaspora

Share this post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


X