MKUTANO MKUU WA PILI (AGM – 2018) – JUMUIYA KUU YA WATANZANIA UK _ WAFANA NDANI YA JIJI LA COVENTRY.

MKUTANO MKUU WA PILI (AGM – 2018) – JUMUIYA KUU YA WATANZANIA UK _ WAFANA NDANI YA JIJI LA COVENTRY.

Jumuiya Kuu ya Watanzania UK ( Tanzanian Diaspora Community in the UK) Imefanya Mkutano wake Mkuu wa Pili uliofanyika katika jiji la Coventry siku ya Jumamosi tarehe 05/05/2018

Katika Mkutano huo ambao ulihudhuliwa na Watanzania toka kila kona ya hapa UK ( London, Manchester, Scotland, Luton, York, Milton Keynes, Reading, Luton, Wolverhampton, New Castle, Northampton, Peterborough, Birmingham, na maeneo mengine mengi hapa UK

Katika Mkutano huo yalijadiliwa mambo muhimu kwa maisha ya wanajumuiya, Watanzania UK na vizazi vyao, pamoja na kuweka sawa mipango ya maendeleo kiuchumi hapa UK tunapoishi na kuweka mikakati ya kushirikiana na serikali nyumbani katika kuliletea maendeleo taifa Letu mama Tanzania.

Tembelea YouTube channel yetu hapa chini ili uweze kupata Mengi yaliyojiri katika Mkutano huu Mkuu wa Pili ambao umekuwa wa Mafanikio Makubwa.

 

 

UONGOZI

TANZANIAN DIASPORA COMMUNITY IN THE UK


X