Mazungumzo..

Mazungumzo..

Mjasiliamali na Mkurugenzi wa Kampuni ya KC GLOBAL – Ndugu Chiris Lukosi alipokutana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania UK & NI – Ndugu Abraham SANGIWA – Katika ofisi za ubalozi wa Tanzania – London wakati walipohudhuria ujio wa Waziri Mkuu – Mh. Kassim Majaliwa.


X