Mapendekezo ya Sera Ya Diaspora na Muswada Wa Sheria ya Diaspora

Mapendekezo ya Sera Ya Diaspora na Muswada Wa Sheria ya Diaspora

Mwenyekiti- Jumuiya ya Watanzania nchini Uingereza (England, Wales, Scotland) na Northern Ireland – TZUK Diaspora na Mwenyekiti Muasisi wa Baraza la Diaspora la Watanzania Duniani (TDC GLOBAL ) Ndugu Abraham S. Sangiwa  akimkabidhi Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge Mambo ya Nje na Usalama wa Taifa Mh. Adadi Rajabu- Mbunge wa Muheza mapendekezo ya sera ya diaspora na muswada wa sheria, ambao kwa pamoja aliuandaa kwa umakini mkubwa kwa niaba ya wanadiaspora wa Tanzania wanaoishi nje ya diaspora, makabidhiano hayo yalifanyika katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma hivi Karibuni.

Mheshimiwa Adadi Rajabu alimuhakikishia Ndugu Sangiwa kwamba mapendekezo hayo atayawakilisha rasmi bungeni na kuingia katika majadiliano ndani ya kamati na rekodi za Bunge.

Share this post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


X