TZUK AGM 2022 LONDON-UK BROUGHT TO YOU BY NALA Money Transfer
Join Here TUNAFURAHA leo tarehe 3.6.2022 kuwatangazia kuwa NALA kakubali kusponsor kwa AGM yetu ya London ya 25.6.2022. NALA kaomba TZUK TUMSUPORT kwenye biashara yake kwanza kwa kutumia Link above ifuatayo kwa watakaopeleka pesa nchi tano za Afrika kwa kutumia NALA. Nchi hizo ni : TANZANIA KENYA UGANDA RWANDA GHANA