Mapendekezo ya Sera Ya Diaspora na Muswada Wa Sheria ya Diaspora

Chairman РJumuiya ya Watanzania UK(England Wales Scotland) na Northern Ireland na Acting Chairman TDC GLOBAL Ndugu Abraham S. Sangiwa  akimkabidhi mapendekezo ya sera ya diaspora na muswada wa sheria ya diaspora Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge Mambo ya Nje na Usalama Mh. Adadi Rajabu- Mbunge Jijini Dodoma hivi Karibuni.*

Read more...
X