TZUK AGM 2021 READING-UK BROUGHT TO YOU BY EQUITY BANK

Diaspora wote watanzania waishio UK Karibuni Reading Hilton Hotel siku ya jumamosi tarehe 06/11/2021 kuanzia saa nne asubuhi mpaka kumi na mbili jioni saa za uingereza tujumuike pamoja na EQUITY BANK wakitueleza fursa mbalimbali zilizopo kwa kutumia benki zao na kuwekeza nyumbani Tanzania Open an account – Equity Bank Tanzania (equitygroupholdings.com) Diaspora Banking | Tanzanite Account | CRDB Bank PLC

Read more...

TZUK AGM 2019 – LUTON UZINDUZI WA HARAMBEE KUNUNUA JENGO LA JUMUIYA

Jumuiya ya Watanzania UNITED KINGDOM -TZUK DIASPORA itafanya uzinduzi wa harambee na kampeni kubwa ya ununuzi wa jengo la kisasa kwa ajili ya jumuiya Jengo hilo linategemewa kuwa na kila aina ya huduma za kijamii na kuitangaza Tanzania huku ughaibuni Akizungumzia kampeni hiyo hivi karibuni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania UK, Ndugu Abraham SANGIWA amesema uzinduzi huo utafanyika katika hoteli ya Chiltern jiji la Luton nchini Uingereza siku ya Jumamosi tarehe 22/06/2019 kuanzia saa sita mchana, na kunatarajiwa kuwepo kwa [...]

Read more...

TZUK DIASPORA COMMUNITY BUILDING FUNDRAISING CAMPAIGN.

Tanzanian Diaspora Community in the UK is announcing an official campaign on fundraising for community building with expected cost of over £500,000 The Community building is well designed as for community facilities, culture and leisure. Do you have what it takes to be one of our play hero’s? Are you excited about our programme and want to make a difference? Then yes you have exactly what it takes! Fundraising for Tanzanian Diaspora Community in the UK, you are supporting a grassroots network of community cohesion and development that has [...]

Read more...

SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA NA KENYA, JUMAMOSI TAREHE 08 DESEMBA 2018 KUFANYIKA KATIKA JIJI LA LUTON NCHINI UINGEREZA.

Jumuiya Kuu ya Watanzania nchini Uingereza inapenda kuwatangazia Watanzania wote na wana Africa Mashariki wanaoishi nchini Uingereza (UNITED KINGDOM) na IRELAND kuwa Sherehe za Uhuru Mwaka huu zitafanyika katika mji wa Luton siku ya Jumamosi tarehe 08/Desemba/ 2018 kuanzia saa mbili Usiku mpaka majogoo Ifikapo saa sita usiku tutakuwa na tukio maalum litalofanywa na Mgeni rasmi pamoja wasanii maarufu wanaotegemewa kuwepo siku hiyo kukaribisha usiku wa tarehe 09/Desemba, siku ya tuliyopata Uhuru Kutakuwa na kila aina ya vinywaji, nyama choma, chapatti’s, [...]

Read more...

WIMBO MAALUM, SALAAM ZA POLE NA RAMBIRAMBI TOKA KWA JUMUIYA YA WATANZANIA NCHINI UINGEREZA NA NORTHERN IRELAND – TZUK DIASPORA

Jumuiya ya Watanzania nchini Uingereza na Northern Ireland kwa kushirikiana na Mwimbaji Mahili wa Muziki wa Bongo Flava, Engine Sanga kwa hisani ya Watanzania wanaoishi nchini Uingereza, na kampuni ya TZD Records wanaungana na Watanzania wote kutoa salamu za pole Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na watanzania wot, kwa ajali ya kivuko cha MV Nyerere iliyotokea katika ziwa Victoria kisiwani Ukara, ambapo watanzania zaidi ya mia mbili wamepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa Sala na pole [...]

Read more...

MKUTANO MKUU WA PILI (AGM – 2018) – JUMUIYA KUU YA WATANZANIA UK _ WAFANA NDANI YA JIJI LA COVENTRY.

Jumuiya Kuu ya Watanzania UK ( Tanzanian Diaspora Community in the UK) Imefanya Mkutano wake Mkuu wa Pili uliofanyika katika jiji la Coventry siku ya Jumamosi tarehe 05/05/2018 Katika Mkutano huo ambao ulihudhuliwa na Watanzania toka kila kona ya hapa UK ( London, Manchester, Scotland, Luton, York, Milton Keynes, Reading, Luton, Wolverhampton, New Castle, Northampton, Peterborough, Birmingham, na maeneo mengine mengi hapa UK Katika Mkutano huo yalijadiliwa mambo muhimu kwa maisha ya wanajumuiya, Watanzania UK na vizazi vyao, pamoja na kuweka [...]

Read more...

TUKUTANE COVENTRY JUMAMOSI TAREHE 05/05/2018, MKUTANO MKUU WA PILI (AGM – 2018) – JUMUIYA YA WATANZANIA UK NA IRELAND KASKAZINI.

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania UK na Northern Ireland inapenda kuwatangazia Wanachama wake na Watanzania wote wanaoishi nchini Uingereza, Wales, Scotland na Ireland ya Kaskazini (Ireland) kuwa Mkutano Mkuu wa Pili (AGM – 2018) Utafanyika katika Jiji la Coventry hapa nchini Uingereza Anuani – ST. MARY & ST BENNEDICT                  52A RAGLAN STREET                  COVENTRY –  CV1 5QF Kuanzia saa tano asubuhi hadi saa kumi na moja Jioni, Ajenda kuu [...]

Read more...

9 DESEMBA SHEREHE ZA UHURU TZ & KE – VUK BANQUETING SUITE NDANI YA JIJI LA LONDON

Ni Jumamosi hii ya tarehe 09/12/2017 tukutane tusherehekee Tanzania & Kenya Independence day pale VUK Luxury Banqueting Suite, Park Place, Chiswick Richmond, London W3 8JY  Kuanzia saa mbili Jioni Mpaka Kumi na moja Asubuhi, kama flyer inajielezea hii si ya kukosa nunua tiketi yako mapema kwa kupiga simu 07941 656446 for advance paper tickets or follow the link and buy your ticket online to avoid paying more on the door. Karibuni sana and C u there!!! https://www.eventbrite.co.uk/e/tzuk-diaspora-convention-2017-tanzania-kenya-independence-celebration-with-queen-malaika-ditto-tickets-38919908494#tickets

Read more...

UCHAGUZI – MKUTANO MKUU JUMUIYA YA WATANZANIA NORTHAMPTON TAREHE 19 AGOSTI 2017

HABARI MPASUKO ZA MWEZI AGOSTI 2017 TOKA UK. Ndugu wana Northampton kwa mujibu wa taratibu na kanuni tulizojiwekea na matarajio yetu ya muda mrefu, Kwa niaba ya kamati ndogo ya maandalizi naitisha Mkutano Mkuu na wa Uchaguzi wa Viongozi Wapya wa Jumuiya yetu ya Watanzania Wote waishio Northampton na maeneo ya Wellingborough, Kattering na Corby [NORTHAMPTONSHIRE] utakaofanyika siku ya Jumamosi tarehe 19/08/2017 UKUMBI Mkutano utafanyika katika ukumbi wa Norfolk Terrace, Semilong, Northampton NN2 6HS MUDA Kuanzia saa kumi kamili jioni (4pm) mpaka saa mbili usiku [...]

Read more...
X