Author - Abraham Sangiwa

TZUK AGM 2021 READING-UK BROUGHT TO YOU BY EQUITY BANK

Diaspora wote watanzania waishio UK Karibuni Reading Hilton Hotel siku ya jumamosi tarehe 06/11/2021 kuanzia saa nne asubuhi mpaka kumi na mbili jioni saa za uingereza tujumuike pamoja na EQUITY BANK wakitueleza fursa mbalimbali zilizopo kwa kutumia benki zao na kuwekeza nyumbani Tanzania Open an account – Equity Bank Tanzania (equitygroupholdings.com) Diaspora Banking | Tanzanite Account | CRDB Bank PLC

Read more...

SHEREHE ZA UHURU NCHINI UINGEREZA KUFANYIKA KATIKA JIJI LA LEEDS

Jumuiya kuu ya watanzania nchini uingereza inawatangazia watanzania wote wanaoishi UK na IRELAND kuwa sherehe za kuadhimisha miaka 58 ya zitafanyika katika jiji la Leeds siku ya jumamosi tarehe 07/12/2019 kuanzia saa kumi na moja jioni mpaka majogoo. Kutakuwa na burudani ya muziki pamoja na wasanii mbalimbali kutoa burudani ya kutosha Vyakula vyote vya East African Cousine vitapatikana siku hiyo pamoja na vinywaji kwa bei nafuu sana kiingilio ni £15 ikijumuisha mlo wa kwanza, na vingine kama nyama choma nk vitapatikana kwa [...]

Read more...

TZUK AGM 2019 – LUTON UZINDUZI WA HARAMBEE KUNUNUA JENGO LA JUMUIYA

Jumuiya ya Watanzania UNITED KINGDOM -TZUK DIASPORA itafanya uzinduzi wa harambee na kampeni kubwa ya ununuzi wa jengo la kisasa kwa ajili ya jumuiya Jengo hilo linategemewa kuwa na kila aina ya huduma za kijamii na kuitangaza Tanzania huku ughaibuni Akizungumzia kampeni hiyo hivi karibuni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania UK, Ndugu Abraham SANGIWA amesema uzinduzi huo utafanyika katika hoteli ya Chiltern jiji la Luton nchini Uingereza siku ya Jumamosi tarehe 22/06/2019 kuanzia saa sita mchana, na kunatarajiwa kuwepo kwa [...]

Read more...

TZUK DIASPORA COMMUNITY BUILDING FUNDRAISING CAMPAIGN.

Tanzanian Diaspora Community in the UK is announcing an official campaign on fundraising for community building with expected cost of over £500,000 The Community building is well designed as for community facilities, culture and leisure. Do you have what it takes to be one of our play hero’s? Are you excited about our programme and want to make a difference? Then yes you have exactly what it takes! Fundraising for Tanzanian Diaspora Community in the UK, you are supporting a grassroots network of community cohesion and development that has [...]

Read more...

RAMADHANI KAREEM 2019 TOKA TZUK – UINGEREZA.

Ndugu Wanafamilia na Watanzania Waishio UK Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania nchini Uingereza – TZUK DIASPORA Ndugu Abraham SANGIWA, pamoja na Uongozi mzima wa TZUK wanawatakia waislam wote duniani mwezi mtukufu mwema wa Ramadan- 2019. Uvumilivu na huruma ambavyo ni maadili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, ni muhimu zaidi hivi sasa kuliko wakati wowote ule.” Kwa mantiki hiyo Mwenyekiti Ndugu Sangiwa amesema, “naomba tutumie mwezi huu wa kujitafakari kwa kukumbuka watu waliopoteza maisha wakati wakisaka usalama na hifadhi na tuonyeshe uungwaji mkono [...]

Read more...

SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA NA KENYA, JUMAMOSI TAREHE 08 DESEMBA 2018 KUFANYIKA KATIKA JIJI LA LUTON NCHINI UINGEREZA.

Jumuiya Kuu ya Watanzania nchini Uingereza inapenda kuwatangazia Watanzania wote na wana Africa Mashariki wanaoishi nchini Uingereza (UNITED KINGDOM) na IRELAND kuwa Sherehe za Uhuru Mwaka huu zitafanyika katika mji wa Luton siku ya Jumamosi tarehe 08/Desemba/ 2018 kuanzia saa mbili Usiku mpaka majogoo Ifikapo saa sita usiku tutakuwa na tukio maalum litalofanywa na Mgeni rasmi pamoja wasanii maarufu wanaotegemewa kuwepo siku hiyo kukaribisha usiku wa tarehe 09/Desemba, siku ya tuliyopata Uhuru Kutakuwa na kila aina ya vinywaji, nyama choma, chapatti’s, [...]

Read more...

WIMBO MAALUM, SALAAM ZA POLE NA RAMBIRAMBI TOKA KWA JUMUIYA YA WATANZANIA NCHINI UINGEREZA NA NORTHERN IRELAND – TZUK DIASPORA

Jumuiya ya Watanzania nchini Uingereza na Northern Ireland kwa kushirikiana na Mwimbaji Mahili wa Muziki wa Bongo Flava, Engine Sanga kwa hisani ya Watanzania wanaoishi nchini Uingereza, na kampuni ya TZD Records wanaungana na Watanzania wote kutoa salamu za pole Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na watanzania wot, kwa ajali ya kivuko cha MV Nyerere iliyotokea katika ziwa Victoria kisiwani Ukara, ambapo watanzania zaidi ya mia mbili wamepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa Sala na pole [...]

Read more...

MKUTANO MKUU WA PILI (AGM – 2018) – JUMUIYA KUU YA WATANZANIA UK _ WAFANA NDANI YA JIJI LA COVENTRY.

Jumuiya Kuu ya Watanzania UK ( Tanzanian Diaspora Community in the UK) Imefanya Mkutano wake Mkuu wa Pili uliofanyika katika jiji la Coventry siku ya Jumamosi tarehe 05/05/2018 Katika Mkutano huo ambao ulihudhuliwa na Watanzania toka kila kona ya hapa UK ( London, Manchester, Scotland, Luton, York, Milton Keynes, Reading, Luton, Wolverhampton, New Castle, Northampton, Peterborough, Birmingham, na maeneo mengine mengi hapa UK Katika Mkutano huo yalijadiliwa mambo muhimu kwa maisha ya wanajumuiya, Watanzania UK na vizazi vyao, pamoja na kuweka [...]

Read more...

TUKUTANE COVENTRY JUMAMOSI TAREHE 05/05/2018, MKUTANO MKUU WA PILI (AGM – 2018) – JUMUIYA YA WATANZANIA UK NA IRELAND KASKAZINI.

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania UK na Northern Ireland inapenda kuwatangazia Wanachama wake na Watanzania wote wanaoishi nchini Uingereza, Wales, Scotland na Ireland ya Kaskazini (Ireland) kuwa Mkutano Mkuu wa Pili (AGM – 2018) Utafanyika katika Jiji la Coventry hapa nchini Uingereza Anuani – ST. MARY & ST BENNEDICT                  52A RAGLAN STREET                  COVENTRY –  CV1 5QF Kuanzia saa tano asubuhi hadi saa kumi na moja Jioni, Ajenda kuu [...]

Read more...
X