9 DESEMBA SHEREHE ZA UHURU TZ & KE – VUK BANQUETING SUITE NDANI YA JIJI LA LONDON

9 DESEMBA SHEREHE ZA UHURU TZ & KE – VUK BANQUETING SUITE NDANI YA JIJI LA LONDON

Ni Jumamosi hii ya tarehe 09/12/2017 tukutane tusherehekee Tanzania & Kenya Independence day pale VUK Luxury Banqueting Suite, Park Place, Chiswick Richmond, London W3 8JY  Kuanzia saa mbili Jioni Mpaka Kumi na moja Asubuhi, kama flyer inajielezea hii si ya kukosa nunua tiketi yako mapema kwa kupiga simu 07941 656446 for advance paper tickets or follow the link and buy your ticket online to avoid paying more on the door. Karibuni sana and C u there!!!

https://www.eventbrite.co.uk/e/tzuk-diaspora-convention-2017-tanzania-kenya-independence-celebration-with-queen-malaika-ditto-tickets-38919908494#tickets

Share this post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


X