Monthly Archives - May 2022

Annual General Meeting AGM 2022

AGM 2022! ITS HERE 25 Juni 22, 6 Mchana – 6 UsikuKashas Royal, 12 Bridge Close,Romford, RM7 0AUKaribuni LondonPamoja na mengi ya kuburudisha, AGM 2022 itaangazia zaidi VIJANAWETU hivyo tafadhali ambatana naye unapokuja mkutanoni. Mawazoyako ya namna ya kuwahusisha vijana katika jumuiya ya TZUK ni ya thamani sana. Kamati zote za TZUK watatoa ripoti ya maendeleo ya kazi.Kiingilio cha tukio kwa wasio wanachama wa TZUK ni £20 chakula chajioni na burudani. Wasiliana NasiSimu : +44 7412 180118WhatsApp: +44 7412 180118Mitandao ya [...]

Read more...
X