SHEREHE ZA UHURU NCHINI UINGEREZA KUFANYIKA KATIKA JIJI LA LEEDS

Jumuiya kuu ya watanzania nchini uingereza inawatangazia watanzania wote wanaoishi UK na IRELAND kuwa sherehe za kuadhimisha miaka 58 ya zitafanyika katika jiji la Leeds siku ya jumamosi tarehe 07/12/2019 kuanzia saa kumi na moja jioni mpaka majogoo. Kutakuwa na burudani ya muziki pamoja na wasanii mbalimbali kutoa burudani ya kutosha Vyakula vyote vya East African Cousine vitapatikana siku hiyo pamoja na vinywaji kwa bei nafuu sana kiingilio ni £15 ikijumuisha mlo wa kwanza, na vingine kama nyama choma nk vitapatikana kwa [...]

Read more...
X