SHEREHE ZA UHURU NCHINI UINGEREZA KUFANYIKA KATIKA JIJI LA LEEDS

Jumuiya kuu ya watanzania nchini uingereza inawatangazia watanzania wote wanaoishi UK na IRELAND kuwa sherehe za kuadhimisha miaka 58 ya zitafanyika katika jiji la Leeds siku ya jumamosi tarehe 07/12/2019 kuanzia saa kumi na moja jioni mpaka majogoo. Kutakuwa na burudani ya muziki pamoja na wasanii mbalimbali kutoa burudani ya kutosha Vyakula vyote vya East African Cousine vitapatikana siku hiyo pamoja na vinywaji kwa bei nafuu sana kiingilio ni £15 ikijumuisha mlo wa kwanza, na vingine kama nyama choma nk vitapatikana kwa [...]

Read more...

TZUK AGM 2019 – LUTON UZINDUZI WA HARAMBEE KUNUNUA JENGO LA JUMUIYA

Jumuiya ya Watanzania UNITED KINGDOM -TZUK DIASPORA itafanya uzinduzi wa harambee na kampeni kubwa ya ununuzi wa jengo la kisasa kwa ajili ya jumuiya Jengo hilo linategemewa kuwa na kila aina ya huduma za kijamii na kuitangaza Tanzania huku ughaibuni Akizungumzia kampeni hiyo hivi karibuni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania UK, Ndugu Abraham SANGIWA amesema uzinduzi huo utafanyika katika hoteli ya Chiltern jiji la Luton nchini Uingereza siku ya Jumamosi tarehe 22/06/2019 kuanzia saa sita mchana, na kunatarajiwa kuwepo kwa [...]

Read more...

TZUK DIASPORA COMMUNITY BUILDING FUNDRAISING CAMPAIGN.

Tanzanian Diaspora Community in the UK is announcing an official campaign on fundraising for community building with expected cost of over £500,000 The Community building is well designed as for community facilities, culture and leisure. Do you have what it takes to be one of our play hero’s? Are you excited about our programme and want to make a difference? Then yes you have exactly what it takes! Fundraising for Tanzanian Diaspora Community in the UK, you are supporting a grassroots network of community cohesion and development that has [...]

Read more...

RAMADHANI KAREEM 2019 TOKA TZUK – UINGEREZA.

Ndugu Wanafamilia na Watanzania Waishio UK Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania nchini Uingereza – TZUK DIASPORA Ndugu Abraham SANGIWA, pamoja na Uongozi mzima wa TZUK wanawatakia waislam wote duniani mwezi mtukufu mwema wa Ramadan- 2019. Uvumilivu na huruma ambavyo ni maadili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, ni muhimu zaidi hivi sasa kuliko wakati wowote ule.” Kwa mantiki hiyo Mwenyekiti Ndugu Sangiwa amesema, “naomba tutumie mwezi huu wa kujitafakari kwa kukumbuka watu waliopoteza maisha wakati wakisaka usalama na hifadhi na tuonyeshe uungwaji mkono [...]

Read more...
X