UCHAGUZI – MKUTANO MKUU JUMUIYA YA WATANZANIA NORTHAMPTON TAREHE 19 AGOSTI 2017

HABARI MPASUKO ZA MWEZI AGOSTI 2017 TOKA UK. Ndugu wana Northampton kwa mujibu wa taratibu na kanuni tulizojiwekea na matarajio yetu ya muda mrefu, Kwa niaba ya kamati ndogo ya maandalizi naitisha Mkutano Mkuu na wa Uchaguzi wa Viongozi Wapya wa Jumuiya yetu ya Watanzania Wote waishio Northampton na maeneo ya Wellingborough, Kattering na Corby [NORTHAMPTONSHIRE] utakaofanyika siku ya Jumamosi tarehe 19/08/2017 UKUMBI Mkutano utafanyika katika ukumbi wa Norfolk Terrace, Semilong, Northampton NN2 6HS MUDA Kuanzia saa kumi kamili jioni (4pm) mpaka saa mbili usiku [...]

Read more...
X