JUMUIYA YA WATANZANIA READING- BERKSHIRE YAPATA VIONGOZI WAPYA.

HABARI MPASUKO ZA WIKI HII TOKA UINGEREZA Jumuiya ya Watanzania wa Reading {Tanzania Reading – Berkshire Association- } imepata viongozi baada ya kufanyika uchaguzi huru wa kidemokrasia Kwa mujibu wa Katiba yake halali siku ya *Jumamosi ya tarehe 29 July 2017 katika jiji la Reading.* Zoezi la Uchaguzi lilisimamiwa kikamilifu Kwa mujibu wa Katiba halali ya Jumuiya na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi 2017 Ndugu Bernard Chisumo pamoja na timu yake chini ya Makamu Mwenyekiti na Kaimu Mwenyekiti Mstaafu Ndugu Hussein [...]

Read more...

UCHAGUZI MKUU WA KUWACHAGUA VIONGOZI WAPYA WA JUMUIYA YA WATANZANIA READING NI SIKU YA JUMAMOSI YA TAREHE 29/07/2017

Kamati ya Uchaguzi inachukua fursa hii  kuwataarifu Watanzania wote waishio Reading na maeneo ya jirani ya kuwa  tutakuwa na *mkutano mkuu wa kuwachagua viongozi wa jumuiya yetu hapa Reading ni siku ya JUMAMOSI TAREHE 29/07/2017 kwa yoyote yule atakayependa kuwania nafasi   basi unatakiwa kujaza fomu na kuirejesha mapema iwezekanavyo. Pia kwa wale ambao hawatakuwa na uwezo wa ku download fomu ya kugombea Uongozi, basi mnaomba mwasiliane na sisi ili tuweze kuwatumia hard copy. Upatapo ujumbe huu basi mjulishe na mwenzako, Fomu [...]

Read more...

JUMUIYA YA WATANZANIA LONDON (TA) YAPATA UONGOZI MPYA.

HABARI MPASUKO ZA WIKI HII TOKA UINGEREZA Jumuiya ya Watanzania wa London – TA {Tanzania Association – London} imepata viongozi baada ya kufanyika uchaguzi huru wa kidemokrasia siku ya *Jumamosi ya tarehe 15 July 2017 katika jiji la London.*  *Mgeni rasmi alikua ni Mwenyekiti wa TZUK {Great Britain & Northern Ireland}* *Ndg Abraham Sangiwa.* Viongozi waliochaguliwa ni hawa wafuatao:- 1. Dada Lynne Kimaro Mwenyekiti 2. Ndugu Omwami George  Ndibalema Makamu Mwenyekiti 3. Ndugu Lazaro Matiku Katibu 4. Dada Halima Yusuph Naibu katibu 5. Dada Edith Kimaro Mweka Hazina   Picha Juu: Mwenyekiti wa TZUK Ndug. [...]

Read more...

Viongozi Waliochaguliwa na Mkutano Mkuu – Jumuiya Ya Watanzania UK – England, Wales, Scotland na Ireland Ya Kaskazini.

Viongozi waliochaguliwa Mwenyekiti – Abraham S. Sangiwa Makamu Mwenyekiti – Bi Maryam Seif Waliopendekezwa na Baraza la Jumuiya kuwepo  katika  Nafasi za Utendaji Gerald Lusingu – K. Katibu Sion Kimaro – K. Katibu Msaidizi Mweka Hazina – Fathiya Salim El – Hosny Mweka Hazina Msaidizi – Lynne Kimaro Mjumbe – Dr. Mohamed Salim Mjumbe – Dr. Hubert Hiza Mjumbe – Eng. Dr. Julius Hingira Mjumbe – Dr. Fred Longino[/vc_column_text]Tizama Picha Zaidi[/vc_column][/vc_row]

Read more...

Mkutano Mkuu wa Watanzania Leeds Yorkshire na Humberside (TAYO) – TZUK DIASPORA

Kuendelezwa kwa Jumuiya ya Watanzania Leeds kwa Kuanzishwa rasmi kwa Jumuiya ya Watanzania waishio Yorkshire na Humber, na ushiriki wake kwa Jumuiya kuu ya Watanzania UK {England, Wales, Scotland } na Northern Ireland. Kufanya uchaguzi kuwachagua viongozi wa Kamati ya Jumuiya Mkutano ulifunguliwa saa 10 jioni kwa wimbo wa ufunguzi na mjumbe Robert John London a kufuata kwa Hotuba fupi ya Mwenyekiti wa muda wa Kamati ya maandalizi ya mkutano. Hotuba ya Mgeni Rasmi ilifafanua: Umuhimu wa kuanzishwa na kuimarishwa kwa Jumuiya za matawi (Local [...]

Read more...
X