Mapendekezo ya Sera Ya Diaspora na Muswada Wa Sheria ya Diaspora

Mwenyekiti- Jumuiya ya Watanzania nchini Uingereza (England, Wales, Scotland) na Northern Ireland РTZUK Diaspora na Mwenyekiti Muasisi wa Baraza la Diaspora la Watanzania Duniani (TDC GLOBAL ) Ndugu Abraham S. Sangiwa  akimkabidhi Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge Mambo ya Nje na Usalama wa Taifa Mh. Adadi Rajabu- Mbunge wa Muheza mapendekezo ya sera ya diaspora na muswada wa sheria, ambao kwa pamoja aliuandaa kwa umakini mkubwa kwa niaba ya wanadiaspora wa Tanzania wanaoishi nje [...]

Read more...
X