Welcome to Tanzanian Diaspora in the United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland Portal

TZUK AGM 2021 READING-UK BROUGHT TO YOU BY EQUITY BANK

Diaspora wote watanzania waishio UK Karibuni Reading Hilton Hotel siku ya jumamosi tarehe 06/11/2021 kuanzia saa nne asubuhi mpaka... Read More

FOMU YA KUOMBA UONGOZI JUMUIYA YA WATANZANIA UK – TZUK DIASPORA 2021.

LEADERSHIP APPLICATION FORM – 2021 – TZUK DIASPORA Read More

SHEREHE ZA UHURU NCHINI UINGEREZA KUFANYIKA KATIKA JIJI LA LEEDS

Jumuiya kuu ya watanzania nchini uingereza inawatangazia watanzania wote wanaoishi UK na IRELAND kuwa sherehe za kuadhimisha miaka 58... Read More

TZUK AGM 2019 – LUTON UZINDUZI WA HARAMBEE KUNUNUA JENGO LA JUMUIYA

Jumuiya ya Watanzania UNITED KINGDOM -TZUK DIASPORA itafanya uzinduzi wa harambee na kampeni kubwa ya ununuzi wa jengo la... Read More

TZUK DIASPORA COMMUNITY BUILDING FUNDRAISING CAMPAIGN.

Tanzanian Diaspora Community in the UK is announcing an official campaign on fundraising for community building with expected cost of over... Read More

RAMADHANI KAREEM 2019 TOKA TZUK – UINGEREZA.

Ndugu Wanafamilia na Watanzania Waishio UK Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania nchini Uingereza – TZUK DIASPORA Ndugu Abraham SANGIWA, pamoja... Read More

SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA NA KENYA, JUMAMOSI TAREHE 08 DESEMBA 2018 KUFANYIKA KATIKA JIJI LA LUTON NCHINI UINGEREZA.

Jumuiya Kuu ya Watanzania nchini Uingereza inapenda kuwatangazia Watanzania wote na wana Africa Mashariki wanaoishi nchini Uingereza (UNITED KINGDOM)... Read More

WIMBO MAALUM, SALAAM ZA POLE NA RAMBIRAMBI TOKA KWA JUMUIYA YA WATANZANIA NCHINI UINGEREZA NA NORTHERN IRELAND – TZUK DIASPORA

Jumuiya ya Watanzania nchini Uingereza na Northern Ireland kwa kushirikiana na Mwimbaji Mahili wa Muziki wa Bongo Flava, Engine... Read More

RELATED LINKS

 
 
X